Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ahaaah.....!!Hivi mnakumbuka kuwa Spain walikuwepo kwenye mashindano haya?
Huu mpira wa kasi kwelikweli, van persie anakosa goli la wazi kabisa hapa.
Asante sana mkuu MEANDU, mungu akubariki, thesis iishe hiyo :A S thumbs_up:
Messi ni zaidi ya Maradon and this is a fact!
Just go and peruse rekodi zao!Akichukua kombe hili Messi atavunja rekodi zote
tunavaa za rangi tofauti
Dutch leo wanalala amini usiamini
Mbona wanatushambulia sana hawa jamaa
kila la kheri Holland ...
ngoja nilale sintoweza kuangalia hii match,.....
Hivi nyie wenzetu mnatazama mpira upi?Team Holland wasi wasi mtupu hasa kijana Campbell akiwa na Brazuca