stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Usiku mwema wadau.
Final unatabiri timu gani zitacheza?Hapa sasa tumefika patamu kama nilivyotabiri; Ulaya vs Amerika Kusini...
- Brazil vs Germany
- Argentina vs Holland
Hapa sasa tumefika patamu kama nilivyotabiri; Ulaya vs Amerika Kusini...
- Brazil vs Germany
- Argentina vs Holland
unataka rubaman aende mara ngapi huko? Sasa hivi furaha ya dada yetu Kule Orange si mchezo, Mie napenda kuona Final Brazil na Argentina au Ujerumani na Holland ndio itapendeza. Na mzungu wa DonDonald Kule Sunny sijui vipi.
Final Brazil vs Argentina... the biggest rivalry of all!
Hawa watu nishawazowea, hawakawii kubadilika huyo ni sawa na kina Belo, Nzi waliokuwa wanampigia debe Moyes mwanzoni afu alipotimuliwa wakaanza kuwa ma-psychic na ma-psychiatrist at the same time.
Fainal zinakutana team zangu
Nerthelands Vs German,,,,,kama hutaki kunya TIKITI
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
...and the winner Brazil takes it all.
Tuacheni unazi hehehe LVGirl mkali wasubiri makofi tu Old Traford mapumziko wachezaji hataki ujinga.Hawa watu nishawazowea, hawakawii kubadilika huyo ni sawa na kina Belo, Nzi waliokuwa wanampigia debe Moyes mwanzoni afu alipotimuliwa wakaanza kuwa ma-psychic na ma-psychiatrist at the same time.
unataka rubaman aende mara ngapi huko? Sasa hivi furaha ya dada yetu Kule Orange si mchezo, Mie napenda kuona Final Brazil na Argentina au Ujerumani na Holland ndio itapendeza. Na mzungu wa DonDonald Kule Sunny sijui vipi.
Tuacheni unazi hehehe LVGirl mkali wasubiri makofi tu Old Traford mapumziko wachezaji hataki ujinga.
Brasil all the way baby!!!!!
Ya Leo ilikuwa kali si unajuwa wengine hehe na huku mpaka saa tatu, Leo nilikuwa Team Orange au unataka nisialikwe na dada yetu Amsterdam wewe kwa kutubania Mie na rubaman nitaenda tu hehe Holland wanachukuwa ila wasipobeba brazil wabebe, kimapenzi ya mpira sababu timu nilizotaka zote hazikufika napenda kuona Brazil vs Argentina 1st imegonga mwamba Ujerumani vs Holland na Hiyo Ikigonga mwamba Holland vs Brazil hapo Holland abebe Kama Holland haifiki Final Brazil wabebe.Dah mkuu ulikuwepo wapi leo? au wewe ulikuwa ni mmoja kati ya "kamati ya ufundi" ya Costa Rica mliokuwa mnazuia magoli kuingia
Vyovyote itakavyokuwa ila kumbuka Kombe halitakwenda mbali na ulipo
Kama ndo ivo basi nusu fainali usiangalia maana hayumo