DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
Ya Leo ilikuwa kali si unajuwa wengine hehe na huku mpaka saa tatu, Leo nilikuwa Team Orange au unataka nisialikwe na dada yetu Amsterdam wewe kwa kutubania Mie na rubaman nitaenda tu hehe Holland wanachukuwa ila wasipobeba brazil wabebe, kimapenzi ya mpira sababu timu nilizotaka zote hazikufika napenda kuona Brazil vs Argentina 1st imegonga mwamba Ujerumani vs Holland na Hiyo Ikigonga mwamba Holland vs Brazil hapo Holland abebe Kama Holland haifiki Final Brazil wabebe.
Mimi ninachojua ni kuwa mkoloni anashinda jumanne atacheza na nani final sijui, bingwa atakuwa nani sijui
Hongereni nimeona leo mnamalizia ili mmchukue Sendrose