patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Costa rica ni mdhaifu sana, yaani kama nimasuala ya vyama basi ni uruguay (CCM) vs Costa rica (ukawa)......... wanaboa mno bora nilale nisubiri mechi ya maana
Huyo jamaa mpuuzi sana, kila mahali anaingiza siasa.Yaani wewe jamaa bila siasa inaonekana huishi kwa amani, hebu nenda kule siasani bhana usituharibie uzi wetu....
Italy vs England ni saa sita kamili?????? Nijuze fasta kabla sijalala please
Italy vs England ni saa sita kamili?????? Nijuze fasta kabla sijalala please
Niliidharau hii mechi lakini kumbe kuna burudani nzuri namna hii...!!
kati ya mechi ambazo nimeshaziona 90min hii ndo naona inaushindani na imechezwa katika kiwango cha World Cup.
Costa rica ni mdhaifu sana, yaani kama nimasuala ya vyama basi ni uruguay (CCM) vs Costa rica (ukawa)......... wanaboa mno bora nilale nisubiri mechi ya maana
Mrembo nashukuru sana.............Kumbe local time sio ya bongo ni kule mechi inapochwzwa...loh Thenkyu
nauliza ivi iyo mistali anayochora refa mfano mchezaji akiuvuka adhabu yake inakuaje