World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Niliidharau hii mechi lakini kumbe kuna burudani nzuri namna hii...!!
 
Yaani wewe jamaa bila siasa inaonekana huishi kwa amani, hebu nenda kule siasani bhana usituharibie uzi wetu....
Huyo jamaa mpuuzi sana, kila mahali anaingiza siasa.
Huyu ni wa kusamehe bure.
 
kati ya mechi ambazo nimeshaziona 90min hii ndo naona inaushindani na imechezwa katika kiwango cha World Cup.
 
Niliidharau hii mechi lakini kumbe kuna burudani nzuri namna hii...!!

Nakuunga mkono mkuu,hii kwangu ni mechi bora zaidi ktk mashindano haya so far!Bonge la game hata zaidi ya Spain vs Holland iliyokuwa ya upande mmoja hasa kipindi cha pili!!

Costarica wanaweza pata point hapa!
 
Costa rica ni mdhaifu sana, yaani kama nimasuala ya vyama basi ni uruguay (CCM) vs Costa rica (ukawa)......... wanaboa mno bora nilale nisubiri mechi ya maana

Mkuu let us enjoy soccer please tena please!Tutarudi kwenye siasa July 13!Wengi tumekimbia huko tukitegemea hapa tutajadili soka tu!Kuingiza siasa hapa ni kutuharibia jukwaa letu bana!

Soccer😛owerful sport in human history!Tafadhali tuache bana
 
nauliza ivi iyo mistali anayochora refa mfano mchezaji akiuvuka adhabu yake inakuaje

minuz mchezaji akivuka ile vanishing spray, wakati timu pinzani ikipiga free kick refa atamzawadia yellow card huyo atakayevuka.
 
Last edited by a moderator:
Hapo England akikutana na hizo timu za Uruguay na Costa rica hachomoki.
 
Gooooooooooo Costarica wanasawazisha safi sana.
 
Back
Top Bottom