Ya Leo ilikuwa kali si unajuwa wengine hehe na huku mpaka saa tatu, Leo nilikuwa Team Orange au unataka nisialikwe na dada yetu Amsterdam wewe kwa kutubania Mie na rubaman nitaenda tu hehe Holland wanachukuwa ila wasipobeba brazil wabebe, kimapenzi ya mpira sababu timu nilizotaka zote hazikufika napenda kuona Brazil vs Argentina 1st imegonga mwamba Ujerumani vs Holland na Hiyo Ikigonga mwamba Holland vs Brazil hapo Holland abebe Kama Holland haifiki Final Brazil wabebe.
Ohhh safi sana kumbe kufukuzwa kazi ni big deal okay
Kocha wako Brendan Rodger unajua alishafukuzwa kazi?
Fainal zinakutana team zangu
Nerthelands Vs German,,,,,kama hutaki kunya TIKITI
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Final unatabiri timu gani zitacheza?
Bcoz of you! lakini ulaya sipo kabisa!! Ila best huyu ni mpinzani sana kwa Brazil hupendi atolewe mapema?
Jamani embu funganeni bana mambo gani ya kuongeza dakika? Robo fainali hii mambo ni dk 90 tu adolay upo wapi??
Nilikuwa naota wangu kwenye mbele ya screen kumbe mmelala maajabu.
Nilisema Katavi , ni zaid ya pweza na ngamia siumeona.....
Hahahahahaha lol!!! kiitishwe kikao cha #TeamBrazil ili kumomba Mkuu Katavi ahamie kambi nyingine, vinginevyo imekula kwetu.