World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tuna siku 2 za mapumziko,nitumie siku hizi 2 kushinda bar na wadau wenzangu tujadili World Cup hii
 
kikosi cha maflop bora kabisa wc2014
1.casilas
2.azpilicueta
3.evra
4.pique
5.jagielka
6.gerald
7.hazard
8.paulinho
9.costa
10.rooney
11.mozes
 
Hiki ndicho kikosi changu bora kabisa
1.ceasar
2.godin
3.marcelo
4.hummels
5.t.silva
6.de jong
7.robben
8.vidal
9.rvp
10.j.rodriguez
11.messi

sub
di maria
s.auriel
obi
neuer
vertoghen
sanchez
herrela
dos santons
 
Mawenzi Bar-Buguruni!!Kuna mdau wa Jamiiforums anaishi maeneo haya aje hapa Bar tupate moja moja ya baridi?
 
Hiki ndicho kikosi changu bora kabisa
1.ceasar
2.godin
3.marcelo
4.hummels
5.t.silva
6.de jong
7.robben
8.vidal
9.rvp
10.j.rodriguez
11.messi

sub
di maria
s.auriel
obi
neuer
vertoghen
sanchez
herrela
dos santons

Mkuu wewe ni kocha PEKEE hapa duniani ambaye utamchezesha Ceasar badala ya invisible TIM HOWARD!Na baada ya dakika 90 board ya team yako ITAKUFUKZA kazi
 
wakuu goli la tuta linahesbiwa kwenye ufungaji bora?

Goli la tuta ndani ya dakika 90 za kawaida au ndani ya dakika 30 za nyongeza LINAHESABIWA lkn goli la tuta baada ya dakika 120 HALIHESABIWI ndiyo maana Neymar anayo mabao 4 tu sio 5
 
Goli la tuta ndani ya dakika 90 za kawaida au ndani ya dakika 30 za nyongeza LINAHESABIWA lkn goli la tuta baada ya dakika 120 HALIHESABIWI ndiyo maana Neymar anayo mabao 4 tu sio 5

asante mkuu kwa kunielewesha.
 
Jaman nasikia Brazil wame appeal kadi ya thiago silva na kesho anaweza akacheza..je kimpira inaruhusiwa kufanya hivyo??
 
mie kulala sana.. hiyo ndio starehe yangu kubwa. nikujoin hapo buguruni??
naisubiria match ya kesho.

Leo nipo mitaa ya Ukonga-Banana maana huku tu kwa Dar hii ndiyo wanauza konyagi-mwitu yenye viwango!

Bado upo job wangu?Mm ni joblesa kwa sasa!! Umekwisha jiandaa kisaikolojia Messi akiwa anaondoka nalo kombe Jumapili?
 
huko ukonga banana kitambo sana. ukonga Mombasa pia.
leo wengine mapumziko 7/7

Argentina for the trophy.. I don't think so. sijui umetumia vigezo gani.
 
huko ukonga banana kitambo sana. ukonga Mombasa pia.
leo wengine mapumziko 7/7

Argentina for the trophy.. I don't think so. sijui umetumia vigezo gani.

Fainali watacheza wenyeji wa America kusini!!Hawa wa Ulaya watapigwa kama watoto na wenyeji!

Ndipo Messi atafanya issue zake sasa!Wapi hujaelewa binti?
 
Kama mmemruhusu Katavi kua #team brazil jamani mjue brazil kashatoka
 
Last edited by a moderator:
Hiki ndicho kikosi changu bora kabisa
1.ceasar
2.godin
3.marcelo
4.hummels
5.t.silva
6.de jong
7.robben
8.vidal
9.rvp
10.j.rodriguez
11.messi

sub
di maria
s.auriel
obi
neuer
vertoghen
sanchez
herrela
dos santons

umekosea kumuweka di maria benchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…