Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndicho kikosi changu bora kabisa
1.ceasar
2.godin
3.marcelo
4.hummels
5.t.silva
6.de jong
7.robben
8.vidal
9.rvp
10.j.rodriguez
11.messi
sub
di maria
s.auriel
obi
neuer
vertoghen
sanchez
herrela
dos santons
wakuu goli la tuta linahesbiwa kwenye ufungaji bora?
Goli la tuta ndani ya dakika 90 za kawaida au ndani ya dakika 30 za nyongeza LINAHESABIWA lkn goli la tuta baada ya dakika 120 HALIHESABIWI ndiyo maana Neymar anayo mabao 4 tu sio 5
nasikia LVG anataka kumleta OT kwa £35M.
Tuna siku 2 za mapumziko,nitumie siku hizi 2 kushinda bar na wadau wenzangu tujadili World Cup hii
sio kwenye nyumba za ibada
Ibada itaendelea WC ikiisha wangu!!Vipi weekends yako uliimaliziaje?
mie kulala sana.. hiyo ndio starehe yangu kubwa. nikujoin hapo buguruni??
naisubiria match ya kesho.
Leo nipo mitaa ya Ukonga-Banana maana huku tu kwa Dar hii ndiyo wanauza konyagi-mwitu yenye viwango!
Bado upo job wangu?Mm ni joblesa kwa sasa!! Umekwisha jiandaa kisaikolojia Messi akiwa anaondoka nalo kombe Jumapili?
huko ukonga banana kitambo sana. ukonga Mombasa pia.
leo wengine mapumziko 7/7
Argentina for the trophy.. I don't think so. sijui umetumia vigezo gani.
anakusalimuhuko ukonga banana kitambo sana. ukonga Mombasa pia.
leo wengine mapumziko 7/7
Argentina for the trophy.. I don't think so. sijui umetumia vigezo gani.
anakusalimu
Hiki ndicho kikosi changu bora kabisa
1.ceasar
2.godin
3.marcelo
4.hummels
5.t.silva
6.de jong
7.robben
8.vidal
9.rvp
10.j.rodriguez
11.messi
sub
di maria
s.auriel
obi
neuer
vertoghen
sanchez
herrela
dos santons