Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Nimesafisha nyota timu Brazil tunabaki na kikombe
umekosea kumuweka di maria benchi
Leo nipo mitaa ya Ukonga-Banana maana huku tu kwa Dar hii ndiyo wanauza konyagi-mwitu yenye viwango!
Bado upo job wangu?Mm ni joblesa kwa sasa!! Umekwisha jiandaa kisaikolojia Messi akiwa anaondoka nalo kombe Jumapili?
Mkuu hiyo konyagi-mwitu kwa mbuzi katoliki na hii sabasaba ndo mwake...!
Mkuu hiyo konyagi-mwitu kwa mbuzi katoliki na hii sabasaba ndo mwake...!
Jamani mechi ya kesho kati ya Brazil na Germany itakua saa ngapi kwa saa za hapa kwetu Tanzania?
Saa 5 usiku saa za kwa JK
Nimesafisha nyota timu Brazil tunabaki na kikombe
James wa Colombia anamagoal 6
Kombe linakwenda kwa king wa the Nertherlands,halafu lazima awepo kwenye final,Brazil,Argentina na Germany walishachukua,Holland nao wachukue this time
Mkuu mimi siichukii brazil, la hasha ila nazungumzia uwezo wake kisoka umeshuka na si kama ule uwezo tuliouzowea.
Hakuna team yyt ya Ulaya itakayo enda America Kusini then ikamuondoa Americanos kwenye ardhi yake!
Germany na Holland kiurahisi tu wanaondoka!Hata wangekutana na Uruguay ya bila Suarez huwezi washinda wakiwa America ya kusini-KWAO
Leo Germany wanalipiza kisasi cha WC 2002,Tena kocha alikuwa huyu huyu Scorali