World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Umefanya nini ili kusafisha nyota yako Katavi? Tiririka maana #TeamBrazil bado tuna wasiwasi mkubwa tu.

Nimesafisha nyota timu Brazil tunabaki na kikombe
 
Last edited by a moderator:
Leo nipo mitaa ya Ukonga-Banana maana huku tu kwa Dar hii ndiyo wanauza konyagi-mwitu yenye viwango!

Bado upo job wangu?Mm ni joblesa kwa sasa!! Umekwisha jiandaa kisaikolojia Messi akiwa anaondoka nalo kombe Jumapili?

Mkuu hiyo konyagi-mwitu kwa mbuzi katoliki na hii sabasaba ndo mwake...!
 
Jamani mechi ya kesho kati ya Brazil na Germany itakua saa ngapi kwa saa za hapa kwetu Tanzania?
 
Mkuu hiyo konyagi-mwitu kwa mbuzi katoliki na hii sabasaba ndo mwake...!

Mkuu bado nipo Banana,tupo kibao hapa bar tunajadili WC!!Mm tu nipo pekee yangu nashabikia Brazil karibu wote wapo Germany!Wishinbg Heaven on Earth angekuwa hapa aniunge mkono!!

Kaka tupo hapa hadi alfajir,mambo sio mabaya hapa Bar!!WC imetuunganisha sana watz
 
Last edited by a moderator:
Nimesafisha nyota timu Brazil tunabaki na kikombe

Kombe linakwenda kwa king wa the Nertherlands,halafu lazima awepo kwenye final,Brazil,Argentina na Germany walishachukua,Holland nao wachukue this time
 
Kombe linakwenda kwa king wa the Nertherlands,halafu lazima awepo kwenye final,Brazil,Argentina na Germany walishachukua,Holland nao wachukue this time

Dada sasa unaingiza huruma wala sio tena viwango lol!!
 
Mkuu mimi siichukii brazil, la hasha ila nazungumzia uwezo wake kisoka umeshuka na si kama ule uwezo tuliouzowea.

Ni kweli uwezo wa Brazil kisoka umeshuka sana, lakini haujashuka kiasi cha kushindwa kuchukua hili kombe.
 
Hakuna team yyt ya Ulaya itakayo enda America Kusini then ikamuondoa Americanos kwenye ardhi yake!

Germany na Holland kiurahisi tu wanaondoka!Hata wangekutana na Uruguay ya bila Suarez huwezi washinda wakiwa America ya kusini-KWAO
 
Ngekewa ya timu 2 za ulaya ni kule kukosekana kwa mihimili muhim ya timu mbili za Amerika kusini( Neymar na Di Maria)
 
Kama refa akiwa fair Brazil leo wanaaga mashindano.Washukuru hata kufika nusu fainali kwani kwa ubovu wa timu yao hawakustahili!
 
Leo Germany wanalipiza kisasi cha WC 2002,Tena kocha alikuwa huyu huyu Scorali
 
Back
Top Bottom