2300hrs EAT tano usiku mkuu
Haya mwanangu,Wajerumani hamna kitu hao wanatumia uzoefu wengi wamecheza tokea WC2006,leo wanakutana na talents,leo nitaangalia hadi mwisho,kusema ukweli hizi timu mbili sio favorite wangu,ila leo nipo na team David Luizsasa mie mwanao itabidi nishabkie hawa koloni letu la zamani. Ila mpira wa leo ni mgumu sana. nahisi kuna dk 120 nyingine leo kama siyo penati kabisa. wajerumani wana hasira hao acha kabisa.. tuombe Mungu tu.
Haya mwanangu,Wajerumani hamna kitu hao wanatumia uzoefu wengi wamecheza tokea WC2006,leo wanakutana na talents,leo nitaangalia hadi mwisho,kusema ukweli hizi timu mbili sio favorite wangu,ila leo nipo na team David Luiz
Daaah muda huo viroba vinakuwa tayari vimenivuruga
Brazil 2 Germany 1.....hulk na fenandinho.......Thomas muller
11.00pm EAT