World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

sasa mie mwanao itabidi nishabkie hawa koloni letu la zamani. Ila mpira wa leo ni mgumu sana. nahisi kuna dk 120 nyingine leo kama siyo penati kabisa. wajerumani wana hasira hao acha kabisa.. tuombe Mungu tu.
Haya mwanangu,Wajerumani hamna kitu hao wanatumia uzoefu wengi wamecheza tokea WC2006,leo wanakutana na talents,leo nitaangalia hadi mwisho,kusema ukweli hizi timu mbili sio favorite wangu,ila leo nipo na team David Luiz
 
Aisee leo nasubir hii new midfield formation ya Leo..fernandinho + luis gustavo + paulinho..kwa kwel leo midfield itaamua mchezo..
 
Haya mwanangu,Wajerumani hamna kitu hao wanatumia uzoefu wengi wamecheza tokea WC2006,leo wanakutana na talents,leo nitaangalia hadi mwisho,kusema ukweli hizi timu mbili sio favorite wangu,ila leo nipo na team David Luiz

nitashukuru maana siku nyingine huwa unawahi mapema sana kujipumzisha. sema mpira huwa unabadilika hasa kwenye hizi hatua za mwisho.
 
Brazil 2 Germany 1.....hulk na fenandinho.......Thomas muller
 
250px-Cbhitler.jpg
Mjeru anazima matumaini ya Burazili ,yaani tokea mwanzoni niliona timu inayochukua kapu ni Mjeru na ndio timu iliyobaki ila nikidokeza tu Holand wanaingia fainali kwa kishindo na watakutana na Mjeru ,ila wakikutana hao basi Kombe linaenda Holland ,nikimaanisha Kombe haliendi Argentina ,wapenzi wa burazili mwisho wenu leo.
 
Hatoki mtu banaaa Victoire ushindi kama kawa, Wajerumani wanafungashwa virago leo warudi kwao wakanywe beers za summer.


Marhaba mwanangu,mimi leo timu David luiz,Mungu asaidie hawa wajerumani wasilipize kisasi
 
Last edited by a moderator:
Dunia nzima wanajua kama leo Burazil atamuelewa Hittler ni nani ,mwanzo hadi mwisho ni magoli tu ,rada zote za kichwani mwangu zinaonyesha magoli atakayofungwa burazili hayashuki manne au kikwetu mane ,wao huenda wakapata mawili tu ,:shetani:
 
Back
Top Bottom