World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tayari deli la kahawa na visheti ,nikishuhudia namda gani Burazili wanavyogalagazwa ,hali ya hewa inasema mabao ni manne kwa German na pengine mawili kwa upande wa pili.
Tunaonana katika dakika za mwisho ,niwacheni ! Yaani leo kitanuka ,burazili nje ya fainali,washukulu wamefika hapa ,yaani leo wanatolewa sadaka !
 
Team Brazil haya kunyweni maji meeeengi mtamwaga jasho sana leo.....weka karibui tembe za hedex nawatabiria maumivu ya kichwa.....mmeshakula?msije mkalala na njaa zenu...Bantu lady,BAK,BULL,Victoire,Mourinho,rubba,Mkuu katavi....muwe na game njema,michezo furaha!
 
Kitale cha leo kitakuwa kigumu chijui nani atatoka kidedea .... .... ... .... .. I like both teams ingawa mafioso(Chelsick) wamejaa Brazil .... ....
 
Who's Bernard? The Shakhtar Donetsk midfielder takes Neymar's place
 

Katavi ndio anawapa gundu #team brazil
 
Last edited by a moderator:
Kitale cha leo kitakuwa kigumu chijui nani atatoka kidedea .... .... ... .... .. I like both teams ingawa mafioso(Chelsick)[/kCOLOR] wamejaa Brazil .... ....
kama manyua wanavyoshabikia holand kisa kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…