World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

TeamGerman mpaka raha...!
Leo Brazuka anapigwa magoli zaidi ya matatu.
Chezea T. Muller wewe!!
 
dah hii mechi ya leo kama hwezi kukimbia baasi ni magoli mengi sana
 
1994 Mkuu unanikumbusha Bebeto,taffarell,capt Dunga na mzee De seuza Romalio.....ha ha ha hii dunia nzima ilikubali....hawa kina Neema hakuna kitu leo watashushiwa mzigo km wa tani 18 wa mjerumani......Go Team GERMANY!

Naaam, hiyo ndio Brazil ya mwisho kucheza 'kibrazil'
Sasa leo watajiuliza kwa mkoloni
 
Pengo la Neymar na Silva linaonekana kabisa,halafu Danny Alves anaumwa au?mbona hajacheza?
 
Back
Top Bottom