Endeleeni kuishi kwa matumainiLinarudi.
Leo upo team brazil?
Jiandae ice cream ..nime bet na hoe elfu hamsini ujerumani anashinda
Linarudi.
Leo hata mbeleko ya chuma lazima itoboke
wameshadataBrazil acheni ujinga nitawaacha muangalie wenyewe
Kwani nimefanya nini jamani? Hukujiandaa kisaikolojia?