World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pole uruguay...

Lkn mkuu jana kocha wa Costarica Jurge Pinto aliwaambia waandishi wa habari kuwa"wanao dhani kama Costarica wamekuja kutalii Brazil wanajidanganya wao wenyewe"

Costarica ni team bora uwanjani so far!
 
Hizi timu ambazo hazina majina ndio zenye mpira mzuri.!!
 
Oooh mama!
Uruguay 1-Costa Rica 2

Dah tuliwadharau bure aisee
 
Mkuu kocha Wenger mzima kweli kichwani?Unamtoa Campbell kwa mkopo unamucha Sanogo?

Wenger sio tatizo la dogo kuwa mkoponi. Ni Sheria za kazi za England, dogo alinyimwa working permit mara mbili nadhani safari hii atapewa baada ya kufanya mambo UCL na World Cup hii.
 
Costarica wanavyowapeleka mchaka mchaka Uruguay, lazima wapate goli la 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…