Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa nini huku haturuhusiwi ku bet katika soka?
Mkuu,Yupo Arsenal ya Wenger toka mwaka juzi,huwa anampeleka kwa mkopo Panathainakos ya Ugiriki!Nashangaa unamtoa Campbell kwa mkopo unamuacha Sanogo ahahahaha
Hili Group timu zitakazo qualify ni England na Costa Rica
Ha ha habari ndo hiyo*3Loh 3??????
Dah hii game safi sana, inavutia kuitazama
Halihitaji muujiza hilo jumatano tutakuwepo hapa trust me watu hawataamini. Mkuu spain sio taifa stars
wewe mimi mpira ndio starehe yangu. ninapoangalizia mwanamke ni mimi peke yangu hehehe mwaka huu nyota si njema sana kwangu kwani spain ilishaniharibia, nasubiri argentina, german na england (ofcourse team za africa ni automatic)
Costa rica hadi rahaaaa