World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hio pass ya campbell kwa goli la tatu ni kama alitumia laser ku-giude......dogo yuko vizuri cha ajabu sanogo anapewa nafasi yeye hapewi.....
 
Costa Rica wanacheza mpira wa usongo zaidi Uruguay wanacheza soka ya mbinu lakini hawajiamini baada ya kustukizwa goli tatu.Uruguay wanapaswa watulie na kuclose game hii ni rahisi,kuna watu wachache tu wa kuwazika kama Campbell,wakifanikiwa mtashangaa kitakachotokea.hawa Costa Rica wakikutana na timu iliyotulia na kumaintain mpira wake,wanapigwa kama watoto.ni kelele tu za mashabiki wake wengi hapa Brazil na mzuka wa mechi ya kwanza.hii mechi yao ya mwisho kutamba.hawatafurukuta kwa muingereza wala mtaliano..pamoja na goli zao 3 za kustukiza.

Ndoto za Alinacha hizo. Costa rica wanapiga mbungi ya ukwel siyo mimbwa hiyo uruguay
 
Facts:

Uruguay have won six and lost none of their eight previous meetings with Costa Rica, most recently defeating them 2-1 on aggregate in a 2010 World Cup play-off

http://www.dailymail.co.uk/sport/worldcup2014/article-2657608/Uruguay-vs-Costa-Rica-All-stats-facts-team-news-game-Group-D.html



Basi mwaka huu tutajionea maajabu mengi
 
Kwa spain hakijaharibika kitu, kwa jinsi nilivyoutazama mchezo wao wote na holland, naamini spain bado ni wakali na watashinda mechi mbili zinazokuja na watafika mbali.
wasafirie nyota ya 2010 nini..
 
Yaani me nimefurahi jinsi uruguay wanafungwa si walitufanyia mtima nyongo sauzi...
 
Mapaka haya mauruguay yanaanza kuleta mieleka na karate kwenye pitch ya soka
 
Huyu ilibidi apewe redcard mbili kwa rafu ya kipuuzi kama ile.
 
Nyekundu rahaaaa

Tangu sures adake mpira na kuizuia ghana kusonga mbele nawachukia Uruguy kwelikwei

Mpira umeisha Costa rica 3 Uruguy 1
 
Labda na England atafanya maajabu yake, Ngoja niwavutie kasi.
 
Back
Top Bottom