World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani yani leo mtaani kwetu kimyaaa kabisa so nimeamin watz wengi ni brazil akianani loh.polen lakin.
 
Ndivyo itakavyopigwa ccm twendeni mbele ya safari tu,mtakujaona
 
hahahahahahaha hebu tujuzane timu ambayo ilishapigwa mvua ya magoli kwenye hii stage ya nusu fainali......
 
Ni Majanga Mkuu ni Majanga tena si madogo. Saa hizi bila shaka Wanajeshi kibao wameshamwagwa katika miji mbali mbali kule Brazil.

Yaani hata hao wanajeshi wanajua kabisa kuwa leo ni kazi ngumu sana mie naomba tu mechi wamalizie hapa kwani yataongezeka magoli mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…