World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani iv saiv kroos ana magoli mangapi ktk wc kwa ujumla?

_76133059_eef42ad1-b4c6-40d8-a08f-f6f8b265571d.jpg
 
BRAZIL tangu mechi ya kwanza walionyesha sio timu nzuri....mechi zote wameshinda kwa mbinde tofauti ya goli moja moja na hajakutana na timu za kutisha....hapa kwa mjerumani ndio ilikuwa mwisho wake,HII NI REALITY CHECK!!!! Brazil walikuwa wabovu tangu mwanzo sasa kipindi cha pili wafanye damage limitation otherwise record ya germany vs saudi arabia[8-0] itavunjwa leo maanake MUELLER ana goli tano anahitaji magoli mawili awe top scorer two consecutive world cups.... MILOSLAV CLOSER AMEKUWA ALL TIME WC TOP SCORER.......
 
Umeona eeh!!!! kishakimbia jukwaa anachungulia kwa mbali na kuuliza wadau wa jukwaa hili mpo!? Hii njemba noma sana 🙂🙂

Hahaaahaaha haiwezekani kaka yangu akawa na gundu kiasi hiki? Dah
halafu leo mapema kaitaja timu, tumenyweshwa magoli kasepa kulala.
 
Hali ni tete hapa Rio de Janeiro,watu wameshajiandaa kufanya vurugu na maandamano.........................................................ni mimi repota wako kutoka hapa Rio de Janeiro,Tandaleeeeeeee!
 
hawa watu wanaweza kupigana hata kwenye familia zako sababu ya matokeo haya.

Ndugu we acha tu kesho tutasikia taarifa ya habari na FIFA watalaumiwa sana kwanini waruhusu mtu afungwe magoli mengi hivi
 
Jamani naona watu wananisumbua sana ngoja nibadili namba mapema maana watu wanatuma sms nyingi sana.
Yaani nimecheka badala ya kuhuzunika
 
Brazil watakuwa wanapigana vyumbani sasa hivi. sijui kisingizio kitakuwa, kukosekana kwa Silva au Neymar? Anyway, hata walete kisingizio chochote hakuna justification ya kufungwa goli zote hizi.
 
Najiona kama natazama Arsenal na B.Munich.. Au macho yangu mabovu?
 
Back
Top Bottom