Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
brazili inashinda 7-5 , wait and see:cool2:
Umeona...unazidisha basi sirudi hamna usafiri huku tutaonana kesho saa mbili
Hahaaahaaha haiwezekani kaka yangu akawa na gundu kiasi hiki? Dah
halafu leo mapema kaitaja timu, tumenyweshwa magoli kasepa kulala.
wamemwaga wa nini
kweli we ni mathematics
hawa watu wanaweza kupigana hata kwenye familia zako sababu ya matokeo haya.
Hahaaahaaha haiwezekani kaka yangu akawa na gundu kiasi hiki? Dah
halafu leo mapema kaitaja timu, tumenyweshwa magoli kasepa kulala.
Ni Majanga Mkuu ni Majanga tena si madogo. Saa hizi bila shaka Wanajeshi kibao wameshamwagwa katika miji mbali mbali kule Brazil.