Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Kama refa akiwa fair Brazil leo wanaaga mashindano.Washukuru hata kufika nusu fainali kwani kwa ubovu wa timu yao hawakustahili!
Hata Germany washukuru Algeria walifunga RAMADHAN nao wangeondoka zamani sana!Haiwezekani teams za Ulaya ziwatoe wenyeji nusu fainali WC!Hiyo haiwezekani