World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hizo jezi za Ujerumani zimekaa ka kufungwa fungwa vile (rangi zile zile walizovaa Chile & Colombia walipocheza na Brazil..)
 
Germany bado hawajatulia brazuka mpaka sasa keshapeleka mashambuliz manne kwa germany.
 
My 5yrs old son kaniuliza,mama nani leo kachukua nafasi ya Neymar?nikamjibu,ila watoto wamesikitika sana Neymar kuumia
 
Back
Top Bottom