World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ebana kwa kweli sijui nipo upande gani. Tangu mwanzoni mwa mashindano nilikuwa German, leo kama roho inataka Brazil washinde vile vile jinsi Brazil walivyoanza hii mechi wapo kama Kuku aliyekatwa kichwa

Kuwa na msimamo Mkuu komaa na kitu ambacho roho inapenda tangu day 1

Kiukweli kabisa kumpanga Fred katika first eleven ni afadhali mcheze pungufu {ingawa anaweza kufunga goli/magoli leo}
 
Back
Top Bottom