World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na siamini hiki kisago ni kwa ajili Neymar Jr na Thiago Silva kutokuwepo.

Kwa jinsi walivyocheza defense leo hata wangekuwa na Pele, Zico, Romario, na Ronaldo....wangefungwa tu.
 
record ya karne kwa kweli

Keshawahi mtu kupigwa nane ,hapa wajeru wanahitaji kuvunja record yao ,nafikiri walimchapa Msaudiarabu 2002 kama sikosei.

Wabrazili manywele wanaziona nzito !
 
[video]https://mtc.cdn.vine.co/r/videos/BE4EA101481098408890036797440_ 2077adaa4ff.1.0.15528665736523 145998.mp4?versionId=gtsxegBNi 26XmQc8n.C52BdA9iAx8Q.s[/video]
 
THE BEST WORLD CUP EVER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sio Waafrika pekee wenye vipaji vya kufungwa migoli mingi katika World Cup. Brazil nao wamo.....
 
hawa wajukuu wa hitler ni wabaya sana dah salam zao wanao kuja final
 
German huwa hawa bahatishi walimpiga saudia 8-0 2002 Leo tens 7-0 ingawa haijaisha 2022 nadhani German atampiga Qatar 10-0
 
km ingekuwa kule kwetu Tandika kocha mpaka dakika hii nyumba zake zote zingekuwa zinawaka moto
 
Boateng kakamilika kweli .. angeendelea kukaa Man City angeishia kukaa benchi kama akina Richards & Lescot.
 
Mpaka dk hii nawapongeza Germany kunitolea ndugu wa mbeleko, tumechoka sasa daa
 
Back
Top Bottom