World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Refa hazioni faulo za Argentina ila za Holland kaziona,wadachi wanamlalamikia hapa
 
Hilo la kupigwa haliwezi kutokea Mkuu, watu tunafanya utani tu ondoa hofu kabisa.



Hapigwi mtu....

Katavi weee tulia tuuuli tegemea ubavu wangu mie bonge la baunsaa tuone huyo ataekupiga



Mtihani ulokuepo leo mara akishika mpira van parsie naruka ruka huwa nasahau timu yangu kama mie argentina....

@bwa'chuchu arg wakitolewa leo unahamia wapi? Mana weyw kwa kuhama timu hujambo
 
Last edited by a moderator:
baba mtakatifu papa francis waombee wanao waja wa ardhi utokayo washinde maana hali imebana kweli kweli.
 
Huyu golikipa wa Holland huyu,anatutafuta ubaya mashabiki wa kidachi
 
Back
Top Bottom