mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo nipatie ila asiwe nyani kama wewe.Mnapigwa 3 kwa 1
leo ni leo mpaka tumbo limeanza kuniuma
Tulia wewe upate burudani na ushuhudie vijana wakiondoka na ndoo.Ayaaaaaa weeeeee basi tena!
Siangalii tena hii gemu
Kumbuka nikishinda unanipa mkeo
Germany asiposhnda hapa kesho naanza kupenda taarabu.Nitaanza na za Hadija kopa zile.
ShabashKumbuka nikishinda unanipa mkeo
Leo naahidi mke wangu ,Argentina akishindwa njoo umchukue nimeshamchoka
hebu sogea karibu yangu hapa..nikupatie huduma.