World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu President wa Brazil ana moyo sana yaani anaenda kuwapa wengine mataji wakati timu yake ilipigwa nyingi
 
Ronaldinho alikuwa ball controller sana, kuliko kuwa effective ndo maana hakusavaivi ulaya kama Messi. Messi yupo effective ana bring his team in the play kuliko Ronaldinho. Sema Wabongo mtu anayepiga dana dana na skills nyingi ndo anaujua kuliko yule aliye effective.

Unamaanisha nini kusema Dinho hakusavaivi Ulaya? Na unamaanisha nini kusema hakuwa effective?

Chifu, unamuongelea Ronaldinho Gaucho ama?
 
#TeamARSENAL tumebeba kombe la pili katika World Cup hii.
4. Forth spot ni kombe tuliloli-trademark
1. World Cup trophy kwa Mertersaker,Podolski na Ozil.
 
Back
Top Bottom