World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo Yanga golini yuko nani? Maana hawa Simba siwaamini amini wanaweza kuharibu ligi mwanzoni mwanzoni. Mbuyu Twite kaanzia benchi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Luiiiiiiz, kipa anadaka mpira. Mpira bado ni 50-50
 
Oliiiiiiiiiiiiiiiiiiic, Daaaaaaaah anakosa kosa hapa. Ilipigwa Cross safi ila Olic akamalizia na Kichwa kibovu.
 
Leo Yanga golini yuko nani? Maana hawa Simba siwaamini amini wanaweza kuharibu ligi mwanzoni mwanzoni. Mbuyu Twite kaanzia benchi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

kitu umekiona simba wamearbu...
 
Back
Top Bottom