World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo ilikuwa zamu ya Spain zile kelele za La liga ni bonge la ligi zimekwisha. Kesho zamu ya wale wachonga vinywa wa kisiwani wanaodai ligi yao ni bora na eti ndo walioanzisha soka.

Ha Ha Ha ningeshangaa kama usingesema kuhusu Three Lions

Nchi yote imezizima na shamra shamra za kusubili Vijana kesho kutoa kipigo cha mbwa mwizi kama alichotoa Holland
 
iniesta na xavi ni
wachezaji wa dk 50 mpira umebadika sana sikuhizi,afu hawa weusi kwenye
hizi team za ulaya mbona wanapiga soccer la hatari lakini weus wa africa
wanatuangusha.?kuna kaburu mmoja hivi anamacho makubwa hvi,yule
alopigwa kichwa na costa, kapiga mpira mkubwa sana leo.

mkuu achana na black hyo, mm nmemwakia kwnye tv, sijui kama kasikia au vp, jmaa anapga mpira mwingi sana aisee.!
 
Hahahaha Voil umeua daa ina maana walifikiri wanaenda kwenye mashindano ya Mieleka?
Daaaa Etooo ana kitambi.
majamaa wameshiba ile mbaya,mpaka wanashindwa kukimbia,hawawezi kuattack,wale na mexico wanaaga kombe,mana wote wawili wapigwa za kutosha na Croatia na brazil
 
iniesta na xavi ni wachezaji wa dk 50 mpira umebadika sana sikuhizi,afu hawa weusi kwenye hizi team za ulaya mbona wanapiga soccer la hatari lakini weus wa africa wanatuangusha.?kuna kaburu mmoja hivi anamacho makubwa hvi,yule alopigwa kichwa na costa, kapiga mpira mkubwa sana leo.
Wale weusi wa Africa wanajua kudai posho tuu kazi hakuna.
 
iniesta na xavi ni wachezaji wa dk 50 mpira umebadika sana sikuhizi,afu hawa weusi kwenye hizi team za ulaya mbona wanapiga soccer la hatari lakini weus wa africa wanatuangusha.?kuna kaburu mmoja hivi anamacho makubwa hvi,yule alopigwa kichwa na costa, kapiga mpira mkubwa sana leo.

Bruno Martins full back
 
mwaka 2010 spain alipigwa game ya kwanza mwisho kabeba ndoo, kwahiyo teamspain tusikate tamaa hii ni game ya kwanza.mambo ndo kwanza yameanza.
 
Nakubaliana nawe but Javi Martinez angeweza kuziba pengo la Alonso ni mzuri sana kucheza mbele ya centre back

Mkuu hakuna mtu wa kuziba pengo la alonso pale mayb matnez angesaidia kunguza idadi ya magori tu,embu angalia kilichotokea baada ya alonso kutoka,uholanzi wali win midfield battle..xavi na iniesta zama zao zimekwsha..
 
mwaka 2010 spain alipigwa game ya kwanza mwisho kabeba ndoo, kwahiyo teamspain tusikate tamaa hii ni game ya kwanza.mambo ndo kwanza yameanza.

Unakariri eeeh sasa mwaka huu watabeba kinu
 
majamaa wameshiba ile mbaya,mpaka wanashindwa kukimbia,hawawezi kuattack,wale na mexico wanaaga kombe,mana wote wawili wapigwa za kutosha na Croatia na brazil

We wachezaji wanaingia na sambusa uwanjani wanatafuna unategemea nini...mpira ukiwa mbele kipa anachukua sambusa anatafuna...
 
Vishabiki vya holland vinafiki...villi kuwa kimyaaaaa vimejificha chimboni Kama michepuko vile kabla holland haijafunga. heeee baada ya holland kufunga vikaibuka Kama dengue from no where kila mtu holland holland....mhh vishabiki maandazi hehehehehe
 
Game la tatu ndo linaanza.. tuone nani atajiunga na Holland kwa ushindi.
 
Back
Top Bottom