World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wayne Rooney has scored 39 international goals, the Italian starting XI combined - only 48- FACT
 
Game tam sana hii dah!
Ishu game ya Cot D' Voire kuangalia asubuhi ni kama kituko,unaamka mapema watu wanakukuta sebuleni


Unaamukaje wakati tunatakiwa kuunganisha!

Ukisinzia tu utasimuliwa hadithi hadithi..
 
BqIBizACAAAd1ZM.jpg
 
Hadi sasa kwa mtazamo wangu teams zilizocheza hovyo ya kwanza ni Spain,inakuja Brazil then Cameroon
 
Thierry Henry hapa kwenye TV anasema ukweli mtupu Welbeck anacheza uzuri na anapata mpira mwingi anachotakiwa kufanya ambacho hafanyi ni kukimbiza sababu anaweza kukimbiza akikimbiza unafanya Italy wakuweke chini.
 
Kitakachowauwa England ni mashuti ya mbali ya kustukiza. wao wamejiandaa kutibua penetration pass wakati Italy wanatumia mikwaju ya mbali.
Pia dharau za beki ya Italy nayo itawakosti Italy.

Hata hivyo Italy imeshuka kiwango.
 
Kumbe baada ya hii game kwisha itakuwa imebaki kama lisaa moja
 
Back
Top Bottom