World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huku kushoto mwa England kumekuwa uwazi sana nimesema asaidie Welbeck ila wapi England hawajui ku dive dive zinaonekana dah ingots Barkley dk ya 66.

Nilitaka kusema hivyo hivyo. Hodgson atalaumiwa kwa kutomleta Ashley Cole mwenye experience na International
 
. step Blatter sasa hivi atakubaliana na mengi Mie nakubali change ila zikiwa nyingi zitaharibu football.

Hakuna anayedai changes nyingi.

Hata Blatter mwenyewe kasema hakuna ubaya, kwa mfano, makocha wakipewa fursa mbili za kuweza ku-challenge calls za marefa ambazo zina utata.

Sasa fursa mbili za kuweza ku-challenge controversial call wala siyo nyingi.....hususan ukizingatia mambo ya fairness....
 
BqIGWCvIQAAxH7z.jpg
 
England have to sort out that left side. It is not just Baines fault..
 
England should continue to fight!Point ipo hapa dhahiri inaonekana
 
Back
Top Bottom