World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mrs Kharusy yaona umeshika kibendera warukaruka huchoki, mkwro nkisherehekea anashtuka ananicost kok
 
Last edited by a moderator:
Uchezaji wa Baloteli kama wa Drogba,yaani kama hawachezi vile kazi yao kuzuga na kutembea pale mbele kama wanategea wenzao,ila wakipata chance wanatumia vilivyo
 
Saa nane hii matumizi ya umeme kidogo lakin bado wanakata
 
Huu mpira umepoa tena,wameanza kuviziana,defence yetu hovyo,Rooney kakosa mwenyewe goli la wazi.
 
Italy hawana golikipa... Then Again Rooney hajawahi kufunga goli hata moja katika World Cup hadi sasa. lakini kuna uwezekano akafunga leo
 
Back
Top Bottom