andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,021
Thanks God leo tuna game 3 tu at least nitalala!!
mkuu acha kamba bana, wewe kwenu huko mechi mnaziangalia saa nne asubuhi hadi saa tatu usiku, hazikuathiri chochote bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks God leo tuna game 3 tu at least nitalala!!
Si masihara lazma adondoshe chozi
mkuu ghana ni black stars na super eagles ni nigeria..supuer eagle si ndio nick name yao hawa Ghana au? ,,,,nahisi ulimaanisha ivoty cost mkuu japo nao wanazingua tu
Cost wameshinda! wamejitahidi.Vipi wakuu,mechi ya Ivory Coast ilikuwaje?kiwango chao?cha Japan?
HahahahaI. coast ni zaidi ya tembo, km nyangumi vile..... ila km una BP usiangalie mechi km hizi, unaweza ku"R.I.P" bila kupenda hahahahaha....
mkuu acha kamba bana, wewe kwenu huko mechi mnaziangalia saa nne asubuhi hadi saa tatu usiku, hazikuathiri chochote bana.
England wana tatizo kubwa sana kwenye team yao, sema hawataki kulitatua
Na hiyo England kwa heshima na taadhima naomba uitoe tu kama mwenzake spainwewe mimi mpira ndio starehe yangu. ninapoangalizia mwanamke ni mimi peke yangu hehehe mwaka huu nyota si njema sana kwangu kwani spain ilishaniharibia, nasubiri argentina, german na england (ofcourse team za africa ni automatic)
England played with plenty of gusto and style in this battle of wills and willpower amid the Amazon heat. They were a game lot, but remain without a figure as classy as Andrea Pirlo in terms of ball retention, or a striker with as much quality as Balotelli. These are men who know what they are doing, why they are doing it and where they are going with and without the ball. They dont make needless runs.
Pirlo's total of 108 passes versus England is the highest recorded by a player so far at this tournament. His style seems to match up particularly well again British sides, but nobody should take it personally. Certainly not 'Wazza'.
supuer eagle si ndio nick name yao hawa Ghana au? ,,,,nahisi ulimaanisha ivoty cost mkuu japo nao wanazingua tu
Mmh, kidhungu hiki si mchezo! Certainly not Wazza!
England waanze kujiandaa kupanda ndege kurudi.
Costarica na uruguay hawatoacha kuwa kamua.
naombeni matokeo ya spain na netherland