World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

#POR starting XI: Patricio, Alves, Pepe, Veloso, Coentrao, Ronaldo(c), Moutinho, Almeida, Meireles, Nani, Pereira.
 
#GER starting XI: Neuer, Boateng, Hummels, Mertesacker, Howedes, Lahm(c), Khedira, Ozil, Muller, Kroos, Gotze.
 
Haya haya wadau wa brazuka ndani ya nyumba hapa ni TeamGermany nawasihi tuwe sote mpaka mwisho.
 
Huyo atacheza Kama wajerumani ikatokea dk 60 Wana goli 3-0 kachukuliwa sababu ya kuvunja rekodi tu.
Enzi zake na kina Michael Ballak zimepita,naona ni taim ya kina Shweinsteiger,ozil,Mario Gomez,Muller na wengine ambao age haijasonga
 
Namuaminia Pepe kwa kedefend,ila leo Ozil na muller lazima wawafundishe soccer hawa wareno
 
Back
Top Bottom