Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna penalti pale, huyu refa sijui vipi.Penalty ingine ya ajabu sana!!
Hapa niko on road,Tv yangu ni JF na redio ya TBC, naskia kuna penat tujuzane wadau.Mkuu, everlenk
Bora ukamuomba mungu, nakuona mzaa chema yote ni heri.
Leo sijuwi nitasurvive vipi maana choka mbaya na mechi zote ningependa kuzitazama live.
Yote kwa yote tupo pamoja.
#TeamGermany . 3-1 Ronald asipoangalia worldcup itamuhusu record ya goal Kuwa C Ronald 2 Messi 2 Wayne Rooney 0 Papa Boupa Dioup wa Senegal kawazidi 3.
Michuano ya mwaka huu penalty ni nyingi kweli.
Mimi sio #TeamPortugal lakini naishabikia kwa leo maana siipend ujerumani.
Hamna penalti pale, huyu refa sijui vipi.
Hahahaah,,,,,,mbona leo muoga namna hiyo?
wasikupe pressure,mpira magoli,acha wamiliki tu!Ila Portugal wanamiliki sana mpira hadi wananipa presha