World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi huyo beki kafanya faulu kweli? Inabidi Goal Area Technology pia ianzishwe
 
Ureno kizazi cha dhahabu kishapita. Kilicheza euro 2000, na wc 2002. Figo, Rui Costa, Joao pinto, Nuno Gomez, castinha na wengine hii ndio ilikuwa ureno ya ukweli. Hii ya sasa inabebwa na individual player kama c7 pepe na coentrao. Inawabidi kutoka jasho kweli kuvuka hili kundi
 
Germany 1-0 Portgual. Thomas Mueller marks his 50th cap with a good penalty - Patricio had no chance
 
Hawa Germany nilidhani wanatisha sana,mpaka sasa sijaona wa kufikia kiwango cha Netheland
 
BqQ6MXhCEAANVBL.jpg
 
line backs ya Germany HAIWEZI mzuia CR7 asifunge bao angalau 1 dakika 90
 
mpaka sasa hivi sijaona timu inayoweza kuifunga uholanzi kwa mpira waliocheza juzi
 
Back
Top Bottom