Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Na wanajuana haswaa, lakini sio Brazil hii
Mkuu Kwani hii iko na shida gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanajuana haswaa, lakini sio Brazil hii
Haki ya nani naombea mkutane!
Mtapigiwa mpira mpk Yule Wa Ukoo Wa Mitu Andre P babu mtamtoa nje!
Mimi siko Brasil Lkn naamini lazima muutafute mpira kwa tochi!
Na wanajuana haswaa, lakini sio Brazil hii
ha ha ha kumbe mimi niliwapandisha kidogo...so average!!!
Leo Oscar amekuwa mtu wa butua?
Mimi sidhani kama setup ya timu ilikuwa ovyo (ukitoa kosa la kumchezesha Ramires)....Mexico wamekaba vizuri sana na kipa wao amewaokoa sana...
Brasil hii hii...nakwambia Italia atakalishwa..ni Uholanzi tu ndiyo nawaogopa...
Anyway, tuombe uzima ili tuweze kushuhudia mpaka mwisho...
Cameroon auihesabii kabisa?
na wewe bana!!! sasa willian na oscar si kitu kimoja! ukiongeza ramirez na luiz ni kizungumkuti!!! world cup unacheza na watu wenye akili sio premier hii....ukimtoa neymar hao akina oscar,willian,ramirez,jo,hulk,fred wote ni average kama sio below average players.
Dogo neymar mbinafsi sana
Watashinda tu labda hujuma za refa ndo ziwazuie.
Watashinda tu wala usihofu.
Brasil hii hii...nakwambia Italia atakalishwa..ni Uholanzi tu ndiyo nawaogopa...
Anyway, tuombe uzima ili tuweze kushuhudia mpaka mwisho...