Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Welbeck=Heskey.
Dah, mulemule, hivi huyo kiumbe keshastahfu soccer au bado? Maana ktk mambulula niliokuwa siwapendi mmojawapo ni huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welbeck=Heskey.
Mechi imekwendaje hadi sasa jamani?nasubiri mamkwe akalale,wako na wife sebuleni na hii mipicha yenu ya kinigeria.wanachekaa,mwenzao nimefura chumbani ah!
Pole Juve...huku England kashachapwa1-0,hio mipicha ilivyo mirefu hata wa Japan utaukosa we kalale tu maana huwezi kumwambia ma'mkwe akalale.....
HT ndio hiyoo, ngoja kipindi cha pili Forlan aje kufunga mjadala.Inaelekea linaweza kurudi kabla ya HT. Wanashambulia kinoma, hizi kona zinaweza kuwapigisha kelele
DonDonald, Sao Paulo angekuwa bado yupo Brazil ungekaribishwa kuwaangalia THREE LIONS wanavyopigwa ubaya