Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msimamo wa kuweka wakati mpira umeshaanza na unakaribia kuisha ni batili hahahaah.Nimechelewa kuweka msimamo wangu ila mimi ni #TeamNyuklia
equado hana mpira wa kumfunga france.
hondurus hana mpira wa kumfunga swiss.
2nd round wanakwenda france na swiss.
Wamepaki ndege kabisaArg wanashambulia but irn wamepaki contena
Ndugu watu leo wanaumia wengi sana kwani wengi wamempa Arg ushindi wa goal zaidi ya tatu