World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kocha wa argentina analia au ndo sura yake ilivo na makunyanzi
 
Messi kaokowa Jahazi tehtehteh nilisema Leo kazi ipo Katavi na Belo.

Uyooo muda wote ulijificha, ulikuwa unasali kikwenu huko isitokee draw ukapigwa ban.
Now ndio unajitokeza baada ya ushindi.
 
FIFA inabidi ibuni njia nyingine ya kupata mshindi .. mechi hii Argentina siyo mshindi
 
FT: #ARG 1 - 0 #IRN. Iran came so close to one of the shocking #WorldCup results of all time, Messi thought otherwise

BqrBQW-CMAAQfPh.jpg
 
Ngoja niandae panadol na dawa ya usingizi kabisa maana ghana ni majanga matupu....
 
Ahsante messi. Wote wanaosema kuwa huisaidi timu yako ya taifa leo tena umedhihisha wewe ni nyoko.
Cc: shifta
 
Last edited by a moderator:
Kwa uchezaji huu Argentina wasipobadilika Ndoo haiwahusu zaidi ya kushiriki kama Hispania na England.
 
Dzeko anamchana chana huyu mla fufu kama kinyagi baadae!Ghana leo nae anaaga
 
Naanza kuelewa kwanini Mmarekani hachoki kumchokonoa muirani. Hawa jamaa wana sanctions hali ndio iko hivi. Wana kibri kama marais wao. Duh!
 
Back
Top Bottom