World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana watazikumbuka hizi nafasi,wamekosa sana magoli ya wazi
 
Ghana wananipa matumaini,hata kama wakafungwa kazi wanayoifanya inaonekana...wanacheza mpira mzuri sana hawa vijana.
 
Timu za africa zinavuma na kufifia.
1. 1990 Cameroun ya Rodger Milla.
2. 1994 Nigeria ya kina George Finidi
3. 1998 Nigeria ya kina Sunday Oliseh
4. 2002 Senegal ya Diof
5. 2006 ?
6. 2010 Ghana ya Asamoh Gyan
7.2014 ?
 
yule line man wa upande wa german sio mwema kwa ghana kabisaa
 
#Ghana,we know you can dribble and posses the ball.Would you stop this showbiz and make more aggressive attacks now?!
 
Ahsante Mungu kwa kipindi cha kwanza, tunakutegemea utupiganie kipindi cha 2.
 
Timu za africa zinavuma na kufifia.
1. 1990 Cameroun ya Rodger Milla.
2. 1994 Nigeria ya kina George Finidi
3. 1998 Nigeria ya kina Sunday Oliseh
4. 2002 Senegal ya Diof
5. 2006 ?
6. 2010 Ghana ya Asamoh Gyan
7.2014 ?

ivory coast
 
daaa hii ndio timu pekee ninayo hitegemea Africa!
 
Back
Top Bottom