World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaaani nakaa hadi sasa afu timu inafungwa tuuuu huu ujinga sana
 
Goal ...Masikini Africa

[MENTION]katavi [/MENTION], nilikuambi sishabikii team za afrika ni presha
 
Hawa mabeki wa Ghana walikuwa wanafanya nini pale hadi mtu anapiga kichwa bila hata kusukumwa?kazi tunayo waafrika.
 
Hiyo ndiyo tofauti.

Wakati Gyani anapoteza nafasi kibao za wazi

Gunza anapata moja na kutupia nyavuni

Waswahili tunaudhi sana, mara nyingi hatujui malengo yetu tuwapo mbele ya lango la adui.
 
daaaaa ghana wamefunga lakini halina faida hili goli?
 
Yap!!!!!!!!!!!!!!!Africa sisi sio yatima bwana,tunawakilishwa atleast.sagi sana
 
Back
Top Bottom