Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well done Africa
Hii game Ghana walipaswa kushinda...wataijutia.
Mpira umeisha....nimechoka utadhani nilikuwa nacheza!
Ghana wangeshinda ningekubali Africa tumepevuka kisoka
Lasivyo poleni sana
Mpira umeisha....nimechoka utadhani nilikuwa nacheza!
Ranking Ya FIFA ikitoka utaona England ya 4 wakati kuna vitimu kama Chile vinakamua na haviingii hyo top 10
Hahahahaaa pole, mimi mpaka nimeumia bega kwa kushangilia na midadi ya kukwepesha mikwaju ya Wajerumani.