World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi hii mechi Portual akishinda si anakuwa na point 3,USA anabaki na point zake 3,German 4 na Ghana 1.
Je mechi ijayo kama ikatokea Ghana akimfunga Portugal si anakuwa na Point 4,na ikatokea USA akadraw na German si anakuwa na 4,au itokee tena Portugal aje akadraw na Ghana ambapo anakuwa na point 4,na USA adraw na Germany.

Kwenye hiyo situation nani anasonga mbele???

Germany wataongoza Afu goals difference itatumika kujua nani awe wa pili
 
What do you understand by the term "goal difference" mkuu?

Hint: Difference is obtained by subtraction... ie unachukua magoli ya kufunga unatoa ya kufungwa.

Karibu kwa swali lingine kama lipo.

Kwahiyo ina maana mfano ikitokea,Portugal leo kashinda goli halafu USA 0,then Portugal akafungwa goli moja na ghana,halafu USA akadraw kwa Germany Kwa matokeo ya 1-1,
Mahesabu yanakuwa

Ghana ana magoli 3 ya kufunga na 3 zingine za kufungwa (Zile mbili alizofungwa na Germany wakatoa draw + ile 1 waliyofungwa na USA).
Inakuwa matatu ya kufunga toa matatu ya kufungwa=0.

USA kafunga mawili toa aliyofungwa mawili=0

Duh!
Au wanahesabu vipi yale magoli draw inapotokea
 
Ghana atakuwa na magoli 4 na kufungwa 3. USA watakuwa na magoli 3 kufungwa 3
 
Kwahiyo ina maana mfano ikitokea,Portugal leo kashinda goli halafu USA 0,then Portugal akafungwa goli moja na ghana,halafu USA akadraw kwa Germany Kwa matokeo ya 1-1,
Mahesabu yanakuwa

Ghana ana magoli 3 ya kufunga na 3 zingine za kufungwa (Zile mbili alizofungwa na Germany wakatoa draw + ile 1 waliyofungwa na USA).
Inakuwa matatu ya kufunga toa matatu ya kufungwa=0.

USA kafunga mawili toa aliyofungwa mawili=0

Duh!
Au wanahesabu vipi yale magoli draw inapotokea

Mkuu unataka kujua kama wakifungana hadi kwenye GD inakuaje? Au sijaelewa?
Kila mashindano huwa yanakua na sheria zake za kutatua situations kama hiyo, GD mkifungana labla option 2 ni head to head, nani alimfunga mwenzake mara ya mwisho mlipokutana, hiyo ikigoma watacheki nani ana goli nyingi za kufunga nk nk nk
 
Back
Top Bottom