World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Chukua Wallpaper hyo

Bq1j7z1CIAAcgcn.jpg:large
 
Brazil wanashambulia kwa kasi sana kuna uwezekano wa kila mchezaji wa brazil kupiga hat-trik leo!
 
sasa hawa TBC ndio nini kuonyesha game moja kwenye chaneli mbili yaani tbc1 na tbc2 wanaonyesha game hio hio cameroon vs brazil!!!!
 
Mhh! Wameanza kwa kasi kweli,the elephant tulieni kufeni kishujaa
 
Hivi kuna mchezaji wa taifa starz anaweza kuimba national anthem kwa hisia kama Luiz au T.Silva.
 
Back
Top Bottom