Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hutaki kuwa challenged ur in th wrong place. huwezi kusema kitu utegemee NDIO MZEE....Argentina messi ana aguero,higuain,di maria,lavezzi,etc Portugal ni one-man team hata LOIUS NANI anapata namba!
You r mistaken! Siyo kuwa sipendi kuwa challenged mkuu...argument yangu ni kuwa Messi kasaidiwaje particularly ktk hii WC 2014?
Goli zake zote ni juhudi zake binafsi...au tunaangalia michuano tofauti? CR7 cku ile anapata chance anapaisha pembeni utafikiri mchezaji wa Abajalo!
Kwa kombe hili CR7 kafulia labda tuone mechi hii ya mwisho.
team england watajuta kuwfahamu costa rica
kwa mara ya kwanza leo tuko pamoja! COME ON ITALY!!
#TeamItalia
washatoka....wamepanga vijana sio mechi muhimu kwa wala kwa costa rica
Jamani wazee wa meli ngapi ngapi huko?
Karibu sana Mkuu
0-0 game zote mbili
Tuache ubishi Messi kaimprove bana siyo kama WC 2010...huwezi mlinganisha na CR7 ktk WC hii.
leo nataka Azzuri wanikomeshee huyu mtu anaitwa suarez bado nina hasira nae since 2010....COME ON ITALY
#TeamItalia