World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sijawahi kushabikia timu ambayo messi anaichezea.

Leo mara ya kwanza.

Argentina piga hao matapeli wa kwenye mtandao.
 
#TeamNigeria wanajituma sana....hata wakifungwa sio kwa uvivu ila kwa kuzidiwa ila wanajituma sana kwa hilo nawasupport leo na wakipita,hawana ma-star kama ivory coast lakini tunaona juhudi zao leo na mechi iliopita!
 
Mechi ya kwanza nilishangaa sana Steven keshi kumuweka benchi Odemwingie lakini naona ameona umuhimu wake,jamaa yuko vizuri na anaonyesha kiwango cha juu sana...
#TeamNigeria
 
Ball news... here is the one they'll use for the final. It's round and everything

Bq_UheYIMAAHYj6.jpg
 
Back
Top Bottom