Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hili likiwaga katikati ya uwanja lazima maamuzi ya utata yatakuwepo tu.Hii game huyu namba 12 wa "Man u" ishamshinda
Dah mkuu moyo wangu kwa kweli daaaah halj mbaya sana tumbo linauma
marudio inaonyesha ilikuwa ni goli, tena clear goal!
Dunia haina usawa,yaani mimi na kiwango changu chote hiki napitwa na Huyu Fred
Yaani hili likiwaga katikati ya uwanja lazima maamuzi ya utata yatakuwepo tu.
Kina nani,slow motion imeonyesha jamaa hajashika mpiraKweli mkuu refa kawabeba
Sipendi mwenyeji atoke mapema ila inaonekana Brazil kama wamepaniki vile...and that's bad for them.
#Team Chile leo tunawatoa hawabrzil wakandamane
watu watapewa yellow leo mpaka wamalizike
Nasikia harufu ya Brazil kufungwa hapa...