Haha tupooo #team brazıl
wa kwanza huyu hapa baada ya kuona dk 90 zimemalizika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha tupooo #team brazıl
Sanchez sasa anakuja kuwaua kabisa!Hapa sioni kama kuna
haya mashabiki Brazil nendeni chooni...mumetabika sana!
Mkuu usiombee....Maana mashindano yanaweza yasiishe salama..
hhhhhhahahahaha leo mpk ndizi daaaaadek!
mechi ya brazil na chile itakwenda extra time baada 1-1 ft. Itaamuliwa kwa kupigwa penati chile 4 brazil 3
wa kwanza huyu hapa baada ya kuona dk 90 zimemalizika
Wale mliokuwa mnaongea Skype
Wewe leo BAN siipati ngoooooo
Nani kasema?
yaani walikua wanapumulia mashine mkuu umejuaje?